Candle Education centre
About Candle Education centre
Candle Education centre is a school, located at independence street, Tanga, Tanzania. They can be contacted via phone at 0715772746, visit their website candletanga.wixsite.com for more detailed information.
CANDLE EDUCATION CENTRE kipo jijini Tanga ndani ya jengo la hospitali ya Dr madundo, Nyuma ya Bank ya CRBD BANK na ndicho kinachoongoza kwa kufundisha
Kituo cha CANDLE EDUCATION CENTRE kipo jijini Tanga ndani ya jengo la hospitali ya Dr madundo, Nyuma ya Bank ya CRBD BANK na ndicho kinachoongoza kwa kufundisha na kufaulisha wanafunzi wa sekondari na QT
= Kituo cha CANDLE EDUCATION CENTRE kinatoa kozi zifuatazao:
* Pre-form one
* Sekondari kwa miaka miwili ( QT)
* Kurudia mtihani wa kidato cha nne na cha sita
* Kozi za Computer program zote
* Kidato cha tano na cha sita kwa mwaka mmoja
* Tution kwa shule za sekondari
* English course ( Kuongea na Kuandika )
* Tally Account package